Binti wa mwigizaji mashuhuri wa Nollywood, Iyabo Ojo, ambaye ni Priscilla Ojo, na mumewe, nyota wa muziki kutoka Tanzania Juma Jux, wametangaza kuwa wanatarajia mtoto wao...
Hatimaye familia ya Marehemu Samuel Kirao Charo imepata haki ya kuuzika mwili wa mpendwa wao baada ya mzozo uliokuwepo hapo awali na kupelekea marehemu kuzikwa kwa...
Wafanyibiashara wanaotegemea huduma za tuktuk mjini kilifi kaunti ya kilifi wanalalamikia kukadiria hasara kutokana na hatua ya wahudu hao kupandisha nauli. Wafanyibaisahara hao ambao ni wa...
Idara ya vijana eneo bunge la Malindi na Magarini kaunti ya Kilifi inayataka makundi ya vijana, wanawake na walemavu yaliyopata mikopo ya hazina ya uwezo kulipa...
Wakulima zaidi ya 9,500 katika Kaunti ya kwale hasa katika maeneo kame ya Kinango na LungaLunga wanatarajia mavuno zaidi ya mahindi, pojo na kunde, kufuatia serikali...