Sports

Wanariadha Kuvuna Panono Wakishinda Dhahabu Olimpiki

Published

on

Serikali kupitia kwa Wizara ya Michezo imedokeza kwamba wanariadha wote wanaovunja rekodi na kufanya vizuri mashindano ya Olimpiki watavuna vinono haya ni kwa mujibu wa Waziri wa Michezo Salim Mvurya.

Waziri huyo aliyasema hayo wakati wa kupokea wanariadha bingwa wa olimpiki mita 1500 Faith Kipyegon na bingwa wa mitaa 5000 Beatrice Chebet  baada ya kurejea nchini kutoka Eugene Oregon Marekani.

Kwa mujibu wa Mvurya mshindi wa tuzo la dhahabu Olimpiki sasa atakakua anapokea milioni 3 kutoka laki 750 huku mshindi wa fedha akipokea milioni 2 kutoka laki 500,000 naye wa shaba milioni moja.

Mwanariadha Kipyegon akivunja rekodi yake ya mitaa 1500 kwa muda wake bora wa dakika 3:48.68 huku Chebet akivunja rekodi kwa muda wa dakika  13:58.06.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version