Katika eneo la Mnarani, Kaunti ya Kilifi, mwanaharakati wa mazingira Stephen Otieno anasimama kama ishara ya ushindi dhidi ya changamoto za maisha. Ni hadithi ya maumivu,...
Msanii maarufu wa muziki wa Injili kutoka Tanzania, Christina Shusho, amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kumpongeza hadharani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...
Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja ameomba msamaha kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu uchunguzi wa mauaji dhidi ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Mapema wiki...
Takriban watoto milioni 138 walishirikishwa katika ajira za watoto kote duniani mwaka 2024. Kulingana na ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la umoja wa mataifa la watoto...
Serikali ya Uingereza ilitangaza kuekeza kima cha dola milioni 60 zaidi katika mradi wa uzalishaji wa Kawi ya miale ya jua katika eneo la Langobaya kaunti...