Shughuli zote ziko tayari kwa ajili ya fainali ya kusisimua ya Raga ya Taifa ya Mizunguko ya Saba mwaka 2025, itakayofanyika jijini Kisumu marufu kama Dala...
Kilabu ya Chelsea imefunguliwa mashtaka na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) kwa madai ya kukiuka kanuni 74 zinazohusiana na malipo kwa mawakala kati ya mwaka...
Kocha msaidizi wa Kenya Ports Authority (KPA), Samuel Ocholla, ana imani kwamba Wanabandari hao wataibuka mabingwa wa Ligi ya Mpira wa Vikapu ya Wanawake ya Kenya...
Kikosi cha pili cha timu ya Kenya kimeondoka nchini Jumatano jioni kuelekea Tokyo, Japan, kushiriki mashindano ya Riadha Duniani kuanzia Jumamosi hii. Wanariadha waliosafiri kwa kutumia...
Miamba wa soka nchini Tanzania klabu ya Simba waliwashinda mabingwa wa zamani wa ligi kuu nchini Kenya, Gor Mahia, mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa...
Magoli mawili kutoka kwa Emily Moranga na Mganda Zaina Namileme yaipa Kenya Police Bullets ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya miamba wa Eritrea, DenDen FC, na...
Mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia Eliud Kipchoge na bingwa wa Olimpiki Sifan Hassan watasaka ubingwa wao wa kwanza kwenye Marathon ya Jiji la New...