Sports
Makocha Saba pekee Wameshinda Taji La CHAN
CHAN COUNT DOWN 16 Days to Go
Huku muda ukizidi kuyoyoma kwa kipute Cha CHAN nchini ebu tumulike wakufunzi na Mataifa ambayo yameshinda Kombe hili Tangu kuasisiwa mwaka 2009
Wa Kwanza ni Coach Santos Muntubile na Taifa la DR Congo marufu The Leopards mwaka 2009
Wa Pili ni Kocha Sami Trabelsi na The Carthage ya Tunisia mwaka 2011
Wa Tatu ni Kocha Jalal Damja na Taifa la Libya mwaka 2014
WA nne ni Kocha Florent Ibengé na Taifa la DR Congo mwaka 2016
Wa Tano ni Kocha Jamal Sellami na The Atlas Lions ya Morocco mwaka wa 2018
Wa sita ni Kocha Houcine Ammouta na Morocco mwaka 2021(kombe ambalo lilikua liandaliwe 2020)
Kocha wa Saba ni Pape Thiaw na Senegal mwaka 2022