Sports
Kenya Yafinya Mashabiki Wake Kwenye Tiketi Za Chan Agosti.
TIKETI
Huku ikiwa zimesalia siku 17 kung’oa nanga kwa kombe la CHAN katika mataifa ya Kenya,Uganda na Tanzania , tayari utaratibu wa viwango vya tikiti za kiingilio bumrtolewa kukiwa na yofauti ya uuzaji wa tikiti hizo katika Mataifa yanayoandaa kombe hilo.
Mfano Taifa la Kenya linaonekana kuuza tiketi hizo kwa bei ghali kuliko majirani wake wote watatu hii hapa chapa hizo;
Utaratibu kamili:
KENYA
Regular Ksh. 200
VIP Ksh. 500
VVIP Ksh. 1000
UGANDA
Regular: Ksh. 130
VIP: Ksh. 260
VVIP: Ksh. 390
TANZANIA
Regular Ksh.50
VIP Ksh.130
Je utashabikia timu yako ukiwa katika Uwanja gani??