Business
Wadau Wataka Somo la Teknolojia ya Kilimo Lijumlishwe kwenye Mtaala wa Elimu
Wadau mbalimbali wa kilimo wametoa wito kwa Serikali kuanzisha somo la teknologia ya kilimo kwenye mtaala wa masomo humu nchini ili kuimarisha uzalishaji wa chakula nchini.
Kulingana nao mfumo wa tekenolojia unatakumika zaidi ulimwenguni ambapo kilimo pia kinatekelezwa kupitia tekinolojia hivyo nchi ya kenya inapaswa kuzingatia teknolojia ili kuinua kiwango cha mazao hapa nchini Kenya.
“ Kwa sasa ulimwengu umeendelea ten asana hivyo kuendelea kutumia mbinu za kitambo za kilimo haitaleta mazao hivyo serilaki ni lazima ianze kutumia tekinolojia.”
Aidha wadau hao wa kilimo wanasema mbinu za kilimo ambazo zinatumika kwa sasa zimepitwa na wakati na utumizi wa teknolojia ndio mpango mwafaka kwenye masuala ya kilimo.