Wadau katika sekta ya uchumi wa raslimali za baharini na maziwa katika eneo la Pwani wameitaka serikali kuongeza uwekezaji katika sekta hiyo ili kusaidia kuongeza nafasi...
Waziri wa Utalii, Bi Rebecca Miano, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi katika kuandaa mpango wa pamoja wa kusaidia biashara na maeneo...
Viongozi wa kaunti ya Mombasa wameitaka serikali kuu kuongeza uwekezaji katika sekta ya uchumi wa raslimali za baharini na maziwa, ili kuinua maisha ya wakazi wa...
Wafanyabiashara wa kuuza matunda karibu na soko la Kwa Jiwa mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wanalalamikia kushuka kwa biashara yao kutokana na uhaba wa wateja katika...
Serikali sasa inasema italazimika kufuta deni la takriban shilingi bilioni 6 kutoka kwa Hazina ya Hustler, baada ya waliopewa mikopo kushindwa kulipa. Katibu wa Idara ya...
Wafanyabiashara katika soko la Matano Mane, eneo bunge la Vitengeni, Kaunti ya Kilifi, wameiomba serikali ya kaunti kufungua soko la eneo hilo lililojengwa miaka 15 iliyopita...
Wafanyabiashara wa Soko la Mtwapa kaunti ya Kilifi wamelalamikia ukosefu wa maji kwenye Soko hilo ambapo wafanyibiashara wengi wanalitegemea kuendeleza shughuli zao za kila siku. Kulingana...
Wafanyibiashara katika sekta ya utalii mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameelezea kudorora kwa sekta hiyo kutokana na hatua ya mahoteli mengi eneo hilo kufungwa. Wakizumguza na...