Sports

Omanyala Amaliza Wa Tatu Mjini Rome

Published

on

Mkenya na bingwa wa Bara Afrika Ferdinand Omanyala ameweza kumaliza wa tatu mbio za msururu wa Diamond Ligi mjini Rome Italia usiku wa kuamkia leo.

Omanyala alitumia muda wake bora wa sekunde 10.01 nyuma ya mwamerika Trayvon Brommel aliyemaliza wa kwanza kwa kutumia sekunde 9.84 naye Emmanuel Eseme wa Cameroon akimaliza nafasi ya tatu na 9.99.

Haya yanajiri siku chache tu baada ya bingwa huyo kumaliza tena nafasi ya tatu mashindano ya Kip Keino Classic jijini Nairobi.

katika mbio zingine Mkenya Beatrice Chebet alikimbia mbio za kasi zaidi wa dakika ya 14.03.69 na kushinda mbio za mita 5000  ikiwa ni muda bora zaidi mwaka huu akiwapiku wenzake Freweyni Hailu (Ethiopia) na Nadia Battocletti (Italy.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version