Sports
Kenya Tayari Kwa Voliboli Ya Walemavu Afrika
Mashindano ya Mchezo wa Voliboli ya watu wanaoishi na ulemavu Barani Afrika kuandaliwa humu nchini Julai 1 hadi Julai 10.
Tayari Droo ya makala ya mwaka huu mashindano hayo imetolewa rasmi hapo jana ambapo;
Kundi A ;Kenya,Rwanda,Aljeria
Kundi B;Misri,Morocco,Nigeria na Afrika Kusini.
Mshindi wa mashindano hayo anawakilisha Bara la Afrika katika mashindano ya dunia Forth Wayne Indiana huku Bara hili likiwa na nafasi mbili pekee katika mashindano hayo ya dunia.