Sports

Madereva Sebastian Ogier Na Ott Tanak Unyo Kwa Unyo,Athens

Published

on

Madereva nguli ulimwneguni Sebastian Ogier wa Ufaransa na Ott Tanak wa Estonia walimaliza kwa muda sawa katika raundi ya kwanza ya mbio za Magari za Acropolis Rally mjini Athens Ugiriki.

Bingwa mara nane Ogier akitumia gari aina ya Toyota Gazo na bingwa wa mwaka 2019 Ott Tanak wakitumia muda wa dakika 1.18.01 kumaliza umbali wa kilomita 1.5.

Takamoto Katsuta raia wa Japan na gari aina ya Toyota alimaliza wa tatu sekunde 0.9 , Huku Madereva wengine Elfyn Thomas na Kalle Ravaompera wota wakimaliza nafasi ya sita kwa muda sawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version