Sports

Kiungo Norgaard Ajiunga Na Arsenal

Published

on

Kilabu ya Arsenal imeafikia makubaliano na kiungo mkabaji wa Brenford Christian Norgaad kwa kitita cha pauni milioni 10.

Hii ni baada ya vilabu hivyo viwili kukubaliana kuhusiana na usajili wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 akiwa ndiye sajili wa tatu kwa kocha Mikel Arteta baada ya ujio wa kiungo Martin Zubimendi na Kepa Arrizabalaga.

Mchezaji huyo tayari amefanyiwa vipimo vya kimatibabu kabila ya kujiunga rasmi na The Gunners ambao sasa wanahamisha kila kitu kwa mshambulizi Victor Gyokeres raia wa Uswedi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version