Sports

Mwendazake Jota Ameadhimishwa Na Mkewe

Published

on

Bi Rute Cardoso Mke wa aliyekuwa mshambuliaji wa Liverpool Marehemu Diogo Jotta amepost ujumbe wa kuadhimisha mwezi mmoja wa ndoa yao ikiwa ni siku chache tangu mumewe afariki na mwezi mmoja umetimu leo baada ya wao kufunga ndoa 22/06/2025 huko Ureno.
Maneno ya kugusa nyoyo ya mama huyu wa watoto wadogo watatu ameandika haya…! “Mwezi mmoja tangu ile ahadi yetu ya mpaka kifo kitutenganishe…! Daima na Milel…! Mwanamke wako kipenzi”
Ujumbe huo ni kama umeamsha kidonda kibichi kwenye mioyo ya watu wengi wanaofuatilia ukurasa wa mwanamke huyo
Rest In Peace Diogo Jota

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version