Sports

Mwanamieleka Hulk Morgan Aaga Dunia Akiwa Na Umri Wa Miaka 71

Published

on

Mwanamieleka maarufu nchini Marekani Hulk Hogan amefariki hapo jana akiwa na umri wa miaka 71, Madaktari walithibitisha kifo chake hapo jana  huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa ni tatizo la moyo.

Majina yake kamili ni Terry Bollea akiwa ni mwanamieleka aliyetamba sana miaka za 80 na 90 kule Marekani.

Hogan aliumwa moyo akiwa nyumbani kwake Florida kisha kupelekwa Hospitali ambapo alipatwa na umauti.
Hata hivyo, Wiki chache tu zilizopita, mke wa Hogan, Sky, alikanusha uvumi wa kwamba Hogan alikuwa katika coma, akisema moyo wake ulipata nguvu na alikuwa na nafuu baada ya kutoka kwenye upasuaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending

Exit mobile version