Msanii Zuchu awasha moto mitandaoni baada ya kujiita “Mrs. Nasibu” kwenye Instagram. Je, hii ni ndoa rasmi na Diamond Platnumz au kiki ya muziki? Soma zaidi...
Msanii maarufu wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameibua mjadala mkali kwenye harusi ya kifahari ya Juma Jux na Priscilla Ojo iliyofanyika nchini Tanzania, baada ya...