Msanii Zuchu awasha moto mitandaoni baada ya kujiita “Mrs. Nasibu” kwenye Instagram. Je, hii ni ndoa rasmi na Diamond Platnumz au kiki ya muziki? Soma zaidi...
Nguli wa Bongo Flava kutoka Tanzania, AY, ametua jijini Nairobi tayari kwa tamasha linalosubiriwa kwa hamu – Millennials Bongo Tour, litakalowasha moto Kilimani, Jumapili hii, tarehe...