Mshambulizi wa Taifa la Ujerumani na kilabu ya Bayern Munich Jamaal Musiala kuwa nje kwa kipindi cha miezi moja baada ya kuvunjika kifundo cha mguu mechi...
Kilabu ya Arsenal imetangaza rasmi usajili wa kiungo wa Uhispania Martin Zubimendi kwa dau la pauni milioni 51 ambayo inakisiwa kufika pauni milioni 60 badaye. Mchezaji...
Mashindano ya kombe la dunia baina ya vilabu kuingia katika hatua ya robo fainali hii leo nchini Marekani. Al-Hilal iliobanduwa Manchester city chini ya Kocha Simeoni...
Bingwa wa nishani ya fedha mbio za olimpiki mitaa 3000 kuruka maji na viunzi Faith Cherotich anatarajiwa tena kuzindua uhasama na bingwa wa Olimpiki raia wa...
Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars kucheza taji la Cecafa ukanda wa Afrika Mashariki mjini Dar-es-Salaam Tanzania ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Chan mwezi...
Mshambulizi wa Liverpool Diogo Jota amefariki dunia kufuatia ajali ya gari nchini Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, vyombo vya habari vya Ureno vimeripoti. Inasemekana...
Madereva zaidi ya 35 kuzindua uhasama katika makala ya mwaka huu ya Rwanda Mountain Gorilla Rally ikiwa ni raundi ya taji la Bara Afrika Julai 4...
Wanariadha nguli wa Kenya watatumia mbio za makala ya Oregon Prefontaine Classic kama mbio za majaribio kabila ya mbio za Dunia mjini Tokyo Japan badaye mwakani....
Kilabu ya Chelsea imethibitisha kumsajili mshambulizi wa kilabu ya Brighton and Hove Albion FC Joao Pedro raia wa Brazil kwa pauni milioni 60. Mchezaji huyo amesafiri...
Kilabu ya Gor Mahia imevunjiliwa mbali kamati yake ya kiufundi ikiongozwa na kocha mkuu Zedekia ‘Zico’ Otieno kufuatia msimu mbovu wakiambulia patupu. Mabingwa hao mara 21...