Manchester United imetwaa ubingwa wa kombe la ‘Premier League Summer Series’ kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya Everton katika dimba la Mercedes-Benz, Atlanta, Georgia Marekani. Michuano...
Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars) imechukua alama zote tatu kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye mchezo wa kwanza...
Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo) imewasili nchini mapema leo kwa ajili ya mechi ya ufunguzi dhidi ya Harambee Stars itakayochezwa siku ya Jumapili. Kikosi hicho,...
SIKU 3 ZIMESALIA KUNGOA NANGA KOMBE LA CHAN: Waziri wa Michezo, Salim Mvurya, pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya CHAN, Nicholas Musonye, wamefanya ukaguzi...
Klabu ya Bayern Munich, inayoshiriki Ligi Kuu ya Bundesliga nchini Ujerumani, imetangaza kumsajili winga wa Colombia, Luis Díaz. Hatua hii imekuja baada ya Bayern Munich na...
Mabingwa wa Bara Afrika kwa soka la akina dada Super Falcons wamevuna vinono kutoka kwa rais wa taifa hilo punde tu baada ya kutua kutoka mjini...
SIKU 4 ZIMESALIA KUNGOA NANGA KOMBE LA CHAN Timu ya Taifa Ya Morocco marufu ‘Atlas Lions ‘ wamefanya mazoezi Yao ya kwanza Ugani Nyayo hapo jana...
Klabu ya KCB ndiyo mabingwa wa michuano ya Raga ya wachezaji saba kila upande ya Driftwood 7s iliyofanyika mjini Mombasa. Hii ni baada ya kuibuka na...
Timu ya Taifa ya Morocco, maarufu kama The Atlas Lions, imewasili jijini Nairobi tayari kwa mashindano ya CHAN yatakayofanyika mwezi ujao katika viwanja vya Nyayo na...
Mashindano ya kitaifa ya misururu ya Raga nchini mwaka 2025 yameongoa nanga mjini Mombasa, Msururu huo wa kwanza wa Driftwood 7s inafanyika katika uwanja wa Mombasa...