Entertainment3 days ago
Huku ama Kule! Bavyombo Azua Gumzo Mitandaoni Kisa Siasa za 2027 Kilifi
Fadhili Bavyombo, msanii maarufu wa muziki wa bango kutoka Pwani ya Kenya, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuchapisha ujumbe tata wa kisiasa kwenye ukurasa wake...