Katika kile kinachoonekana kama sauti ya busara katikati ya hali ya sintofahamu na maumivu ya hadharani, msanii na mwanamuziki maarufu wa Kenya, Bahati, ameweka ujumbe mzito...
Baada ya siku kadhaa za drama ya hadharani iliyojaa hisia kali, maumivu, na mfululizo wa tuhuma zilizosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya, hatimaye...