Waandishi wa habari kutoka Kenya wamepokea mafunzo ya kiufundi kuhusu namna ya kuripoti mashindano ya riadha ya hadhi ya kimataifa, yakiwemo ya toleo la sita la...
Mwanariadha nyota kutoka Uswisi, Mujinga Kambundji, hatashiriki katika mashindano ya Kipkeino Classic yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi, Mei 31 katika uwanja wa michezo wa Ulinzi, jijini Nairobi. Kupitia...