Entertainment4 days ago
Kutoka High Heels Hadi Kuimba Peku Stejini, Nyota Ndogo Afunguka
🎙️ “Sauti yangu ndiyo ya kusikiliza – si viatu vyangu.” Katika dunia ya burudani ambako muonekano hupewa uzito mkubwa, Nyota Ndogo ameamua kuvunja ukimya. Kupitia video...