Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande kwa mwanaume mmoja aliyekabiliwa na mashtaka ya ulawiti wa mtoto wa umri wa miaka 9. Akitoa agizo hilo Hakimu wa...
Wakulima wa zao la pamba kaunti ya Lamu wamepata afueni baada serikali kujengewa kiwanda cha kutayarisha zao la pamba. Katibu katika idara ya uekezaji kaunti hiyo...
Kenya ni miongoni mwa mataifa manne barani afrika yaliyotajwa kuwa katika hatari ya kukosa chakula maalum cha kuokoa maisha ya watoto wenye utapiamlo katika kipindi cha...
Mahakama imesitisha ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu ya rais kwa sasa. Mahakama pia ilisitisha ujenzi wa...
Waziri wa fedha nchini John Mbadi amepuuzilia mbali uamuzi wa bunge la kitaifa wa kusitisha agizo lake la kuwataka maafisa wote wa serikali kuu na kaunti...
Hali ya wasiwasi na ghasia zilishuhudiwa katika eneo la Kwa Mwango karibu na Mkoroshoni mjini Kilifi Agosti 28, 2025. Hii ni baada ya wakaazi wenye hasira...
Shughuli ya kufukuaji wa maiti katika vichaka vya Kwa Binzaro eneo la Shakahola kaunti ndogo ya Magarini inaingia wiki ya pili huku miili 7 zaidi ikifukuliwa...
Rais William Samoei Ruto amesema usajili wa makurutu watakaojiunga na huduma ya vijana kwa taifa NYS utaongezeka kutoka vijana 18,000 hadi 100,000 katika miaka mitatu ijayo....
Tume ya uchaguzi nchini Tanzania, INEC imemuidhinisha rasmi Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, na mgombea mwenza Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea wa Urais kwa chama cha...
Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba alisema serikali ya kitaifa imejiandaa kikamilifu kwa mpito wa wanafunzi kuingia Sekondari ya Juu (Junior Secondary), Januari 2026. Akizungumza katika...