Mwakilishi wa wadi ya Junda kaunti ya Mombasa Sylvester Kai amewakosa mawaziri katika serikali ya kaunti hiyo kwa madai ya kuhujumu maendeleo mashinani. Kai alidai kwamba...
Huduma ya kitaifa ya polisi nchini NPS imethibitisha kufariki kwa maafisa mmoja wa polisi anayehudumu katika kitengo cha kudhibiti amani na usalama nchini Haiti MSS. Katika...
Wafugaji wa Nyuki eneo la Mida kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuu na zile za kaunti kukumbatia Kilimo cha Nyuki ili kuendeleza uzalishaji wa Asali na...
Wakulima katika mradi wa unyunyizaji maji mashamba katika mradi wa Hola irrigation Scheme Kaunti ya Tanariver wameeleza matumaini ya kupata mazoa bora kufuatia hatua ya serikali...
Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amekosoa serikali kwa kusalia kimya kuhusiana na madai ya uwepo wa jeshi la Jubaland hapa nchini. Naibu huyo wa...
Jamii ya wapokomo wanaoishi kaunti ya Mombasa wamelalamikia kutengwa na serikali ya kaunti hiyo kwa kile wanachodai kuwa ni ubaguzi wa kikabila. Wakiongozwa na mwenyekiti wao,...
Waziri wa utumishi wa Umma nchini Geoffrey Ruku anasema serikali inaangazia kuwianisha mishahara ya watumishi wa umma na kukumbatia mageuzi ya kidijitali, ikiwa ni pamoja na...
Kaunti ya Lamu inaendelea kushuhudia changamoto ya nguvu za umeme ambayo inaendelea kuathiri utoaji wa huduma katika idara mbali mbali katika kaunti hiyo. Gavana wa kaunti...
Maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Inuka eneo bunge la Likoni kaunti ya Mombasa wanamzuilia mwanamume mmoja baada ya kumkamata akiwa na misokoto 284...
Muungano wa wauguzi katika kaunti ya Lamu ukiongozwa na Erick Otieno umekosoa kitendo cha maafisa wa polisi cha kuwatupia vitoa machozi walipoandamana kuelekea makao makuu ya...