Serikali ya kaunti ya Mombasa imetangaza kwamba italifunga daraja la Nyali kwa mda wa saa moja siku ya Jumatano tarehe 9 kuanzia mwendo wa mchana ili...
Aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma nchini Justin Muturi amesema maisha yake yamo hatarini baada ya kupokonywa walinzi wake ambao aliyokuwa nao tangu akiwa Spika wa...
Viongozi wa kisiasa kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali kuingilia kati na kuzuia ubomozi wa nyumba zaidi ya elfu moja katika maeneo ya Chaani, Migadini, Lilongwe na...
ARDHI- Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema serikali inalenga kubuni kitenga maalum cha maafisa wa usalama watakaochunguza mizozo ya ardhi katika eneo la Pwani....
Zaidi ya familia 200 katika kijiji cha Gazi eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale zinakadiria hasa ya mamilioni ya pesa baada ya genge la vijana...
Chama cha ODM kinatarajiwa kuanza awamu ya pili ya uchaguzi wake wa mashinani katika viwango vya wadi nchini. Makamishna wa kamati kuu ya uchaguzi wa chama...
Kinara wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amekosoa uvamizi uliofanywa na kundi la vijana wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la PCEA Kasarani jijiji Nairobi....
Idara ya usalama kaunti ya Kwale imefanikiwa kuwatia nguvuni washukiwa 9 wa uhalifu wanaoaminika kuwa vijana wa vipanga katika eneo la Diani kaunti ya Kwale. Kulingana...
Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor Hassan amewahakikishia wakaazi wa kaunti hiyo pamoja na watalii wanaolenga kuzuru mjini Mombasa kwamba usalama umeimarishwa hata wakati wa...
Mamlaka ya Mazingira nchini NEMA imefanya kikao na waathiriwa wa sumu ya Lead kutoka kijiji cha Owino Uhuru eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa ili...