Daktari mkuu anayesimamia kitengo cha masuala yanayohusu kifua katika hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi Anderson Ngala amewahimiza wakaazi kufika hospitalini iwapo watahisi maumivu kifuani....
Maafisa wa uokozi wanaendelea na juhudi za kusaka miili ya vijana watatu ambao ni wanafunzi kutoka eneo la Hongwe Mpeketoni waliozama baharini siku ya Jumapili jioni...
Serikali imeanzisha mpango wa kubuni sera itakayotambua na kuthamini wadhfa wa wazee wa mitaa na wale wa nyumba kumi ili kuimarisha usalama hadi mashinani. Katika makadirio...
Waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristu wamemiminika makanisani kuadhimisha Jumapili ya matawi, juma moja kabla ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka. Waumini wa madhehebu ya Anglikana,...
Mbunge wa Malindi Amina Mnyazi amesema idara ya usalama katika eneo bunge hilo inakumbwa na uhaba wa miundo msingi na ukosefu wa vifaa hitajika. Mnyazi amehoji...
Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire amezitaka Mahakama zinazoshuhulikia mizozo ya Ardhi na Mazingira nchini kufanya uchunguzi wa kina wa kesi za mizozo...
Katibu katika Wizara ya Leba nchini Shadrack Mwadime amewataka vijana ambao wana ujuzi mbalimbali lakini hawana stakabadhi kujisajili na Mamlaka ya kitaifa ya mafunzo ya viwanda...
Kutokana na kushuhudiwa kwa mizozo ya ardhi ya mara kwa mara katika eneo la Pwani, sasa Wizara ya Usalama wa ndani imewaonya maafisa wa idara ya...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha inaajiri maafisa wa Polisi elfu 10 katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Akizungumza...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amemkashifu aliyekuwa Waziri la utumishi wa umma Justin Muturi kwa madai ya kushikilia nyaraka muhimu za siri za serikali...