Aliyekuwa mbunge wa Kisauni Ali Mbogo ameikosoa serikali ya kaunti ya Mombasa kwa kushindwa kutatua suala tata la uskwota linalowakumba wakaazi wengi wa kaunti hiyo. Akizungumza...
Nahodha wa Kikosi cha Soka vijana chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 Rising Stars Amos Wanjala amesema kwamba lengo lao kuu ni kufuzu kombe la dunia...
Ofisi ya Vatican imetangaza kwamba Baraza la Makadinali wa Kanisa Katoliki linalofahamika kama ”Conclave” litaanza kikao chake cha siri cha kumchagua Papa mpya kuanzia tarehe 7...
Sasa Ni rasmi kwamba kilabu ya Livrpool ndiyo mabingwa wa Ligi kuu Uingereza baada ya kuvuna ushindi mnono wa magoli 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspurs Ugani...
Serikali inalenga kuajiri zaidi ya vijana laki moja katika Shirika la huduma kwa vijana wa taifa NYS. Waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku amesema...
Mdhibiti wa bajeti nchin Margaret Nyakang’o amependekeza kuongezwa kwa kiwango cha bajeti ya ofisi yake kutoka shilingi milioni 7.2 hadi shilingi bilioni 1.6 ili kufanikisha majukumu...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amefanya kikao cha mazungumzo na waekezaji kutoka Kampuni ya Gach Group kuhusu uekezaji wa madini katika eneo la Magarini...
Shirika la Afya la AMREF kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Kilifi wawekeza zaidi katika sekta ya afya ili kukabiliana na magonjwa yaliyosaulika. Shirika hilo...
Wakaazi wa maeneo ya Matano Mane katika wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi wameandamana na kufunga barabara ya kutoka Chuo cha ufundi cha Godoma inayopitia shule...
Leo ni siku ya Malaria Duniani. Katika siku hii wizara ya Afya imeandaa hafla ya hamasisho linatolewa kuhusiana na juhudi za kuudhibiti kabisa ugonjwa huu hatari...