Mvutano wa kisiasa umeanza kushuhudiwa ndani ya Chama tawala cha UDA baada ya baadhi ya viongozi wa chama hicho kutofautiana kisiasa huku wengine wakilalamikia kudharauliwa. Mwenyekiti...
Mahakama ya Kisutu nchini Tanzania imeahirisha kesi ya jinai inayomkabili Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu hadi Juni 16, 2025. Mahakama imeagiza Lissu kuendelea kuzuiliwa...
Mgombea wadhifa wa urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027 Robert Watene amesema mfumo wa mtaala wa elimu nchini CBC utawafaidi wakenya iwapo utaangazia changamoto...
Mgombea wadhifa wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 Robert Watene anasema taifa litanawiri zaidi na kuendelea iwapo wananchi watahakikishiwa usalama wa chakula. Watene alisema...
Wataalamu wa sekta ya uchumi wa samawati na maswala ya bahari hapa nchini wamesistiza haja ya serikali kuweka mazingira bora ya kubuni nafasi zaidi ya ajira...
Rais William Ruto amewaongoza wakenya katika kuadhimisha sherehe za Madaraka za 62 tangu taifa lijipatie uhuru. Katika maadhimisho hayo ambayo yamefanyika katika uwanja wa Raila Odinga...
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema kaunti ya Kwale imepiga hatua katika kuimarisha sekta ya uvuvi na uchumi samawati. Gavana Achani ameihimiza serikali ya...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ndio mabingwa wa Klabu bingwa Uropa baada ya kuilaza Inter-Milan magoli 5-0 Jumamosi usiku, katika fainali iliyochezewa katika uwanja wa Allianz Arena jijini...
Wazazi na walimu kaunti ya Kwale wameshinikiza kuhimiza wanafunzi kujiunga zaidi na kundi la maskauti kutokana na idadi ndogo ya maskauti kaunti hiyo. Akizungumza wakati wa...
Maafisa wa usalama eneo la pwani wanasema wamewakamata wanaume 9 wa umri kati ya miaka 26 hadi 30 kwa tuhuma za wizi eneo la Mtwapa kaunti...