Serikali ya kaunti ya Kilifi imejitenga na vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa mazishi ya Afisa wa kaunti katika eneo la Msabaha wadi ya Ganda eneo bunge la...
Daktari wa Afya ya uzazi katika hospitali ya Malindi kaunti ya Kilifi, Sudi Mohamed amewashinikiza wanaume katika eneo bunge la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa...
Wataalam wa maswala ya uchimi wa bahari nchini wamesistiza marufuku ya uvuvi wa kutumia nyavu aina ya Ring Net wakisema nyavu hizo zinaharibu zao la samaki...
Viongozi wa kaunti ya Tanariver wamepuuza harakati za kisiasa za Kinara wa chama cha Democracy for the Citizen’s Party- DCP, Rigathi Gachagua wakimtaja kama kiongozi anayeendeleza...
Serikali imesema itakamilisha malipo ya fidia kwa waathiriwa wote wa ujenzi wa mradi wa Bwawa la Mwache katika eneo la Kinango kaunti ya Kwale ifikapo mwishoni...
Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wamekamatwa na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia sare baada ya kusikiza kesi inayomkabili gavana wa kaunti...
Wanafunzi wa Gredi ya 9 watajiunga na shule za sekondari mwaka ujao kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa kuwasajili wanafunzi maarufu kama KEMIS. Kulingana na...
Mikutano miwili muhimu ya faragha imefanyika Jumatatu Juni 2 2025, kujadilia usimamizi wa vyama vya ODM na PAA ndani na nje ya Bunge la Kaunti ya...
Baadhi ya viongozi wa kisiasa wamemtaka Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kujiuzulu kwa madai kwamba ameshindwa kuimarisha usalama katika maeneo mbalimbali ya taifa. Wakiongozwa...
Idara ya Usalama nchini imelaumiwa kwa kushindwa kuzihamisha huduma zake hadi katika mfumo wa kidijitali hali ambayo imerudisha nyuma juhudi za kutafuta usaidizi wa kiusalama. Kulingana...