Kikao cha kutafuta mwafaka kuhusu mzozo uliyoshuhudiwa kati ya wakaazi wa eneo la Jaribuni kaunti ya Kilifi na wawekezaji wa timbo za eneo hilo uliyosababisha kufungwa...
Aliyekuwa Naibu rais Rigathi Gachagua amesema maisha yake yako hatarini kutokana na msimamo wake wa kisiasa nchini. Katika barau aliyomuandikia Inspekta jenerali wa polisi nchini Douglas...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande washukiwa wawili wa kesi ya ubakaji wa msichana wa umri wa miaka 16, kaunti ya Kilifi. Hakimu wa Mahakama hiyo...
Shirika la kutathmini ubora wa bidhaa nchini KEBS limesema wakenya wengi wamekuwa wakinunua bidhaa ghushi ambazo hazijathibitishwa na Shirika hilo kutokana na ukosefu wa ufahamu kuhusu...
Serikali imejitokeza na kupinga taarifa zinazoendelea katika mitandao ya kijamii kwamba inalenga kuwasilisha mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 bungeni ambao unalenga kuongeza ushuru kwa...
Kumeshuhudiwa vuta ni kuvute katika Ofisi za Katibu wa kaunti ya Kilifi baada ya aliyekuwa Katibu wa kaunti Martin Mwaro kupata agizo la Mahakama la kurejea...
Daktari mkuu anayesimamia kitengo cha masuala yanayohusu kifua katika hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi Anderson Ngala amewahimiza wakaazi kufika hospitalini iwapo watahisi maumivu kifuani....
Maafisa wa uokozi wanaendelea na juhudi za kusaka miili ya vijana watatu ambao ni wanafunzi kutoka eneo la Hongwe Mpeketoni waliozama baharini siku ya Jumapili jioni...
Serikali imeanzisha mpango wa kubuni sera itakayotambua na kuthamini wadhfa wa wazee wa mitaa na wale wa nyumba kumi ili kuimarisha usalama hadi mashinani. Katika makadirio...
Waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristu wamemiminika makanisani kuadhimisha Jumapili ya matawi, juma moja kabla ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka. Waumini wa madhehebu ya Anglikana,...