Shirika la umoja wa mataifa la kupambana na virusi vya UKIMWI, UNAIDS, limesema huenda kukawa na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi milioni 6 na vifo...
Karani wa bunge la kaunti ya Kilifi Emmanuel Ngala ameagiza kuondolewa kwa walinzi wanaolinda makaazi ya Spika wa bunge la kaunti hiyo Teddy Mwambire. Kulingana na...
Siasa za majibizino kuhusu mtizamo wa vijana wa kizazi cha Gen Z na mabadiliko ya kiuongozi nchini zimeanza kushamiri huku rais William Ruto akionekana kuchukizwa na...
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amekanusha madai kwamba mrengo wa upinzani unapanga kumuondoa rais William Samoei Ruto madarakani. Katika taarifa yake ya siku ya Jumatano...
Tume ya kutetea haki za binadam nchini KNCHR imetoa takwimu zikionyesha watu 31 wamefariki huku wengine 107 wakijeruhiwa kufikia sasa kufuatia maandamano ya siku ya Saba...
Wizara ya Afya nchini imedai kuwa kumekuwepo na ulaghai mkubwa katika mfumo wa zamani wa bima ya afya ya NHIF. Waziri wa Afya, Aden Duale alisema kuwa zaidi...
Wakaazi wa eneo la Kajajini mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamelaumu kampuni ya usambazaji umeme nchini KPL kwa kutozingatia malalamishi yao. Wakaazi hao walisema kwa mda...
Vijana na wanaharakati wa maswala ya vijana kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali ya kitaifa kutekeleza maswala ya msingi yanayohusu uongozi na utawala wa sasa. Vijana hao...
Ofisi ya kamishna mkuu wa haki za kibinadamu wa umoja wa mataifa (OHCHR) imeibua wasiwasi kuhusu maandamano ya siku ya Saba Saba nchini Kenya, ambapo makumi...
Tume uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) imerejesha tovuti yake ambayo wapigakura huthibitisha taarifa zao za usajili, baada ya kipindi cha ukarabati. Hii ni kufuatia malalamishi ya...