Serikali ya kaunti ya Mombasa imethibitisha vifo vya watu wawili kutokana na ugonjwa wa Mpox, huku maambukizi mapya yakiendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo. Msimamizi mkuu...
Wenyekiti mpya wa Tume ya uchaguzi na mipaka Erastus Ethekon pamoja na makamishena wengine sita wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wameapishwa leo Ijumaa...
Licha ya hali ngumu za kiuchumi zinazoendelea kushuhudiwa nchini, Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA imetangaza kuongezeka kwa mapato yaliokusanywa mwaka wa kifedha 2024/2025 ikilinganishwa na...
Wasichana katika ukanda wa Pwani wataendelea kupokea elimu ya kujilinda dhidi ya masuala ya kingono kufuatia mpango wa uhamasishaji, ushauri nasaha na hata michezo. Mpango huo...
Changamoto imetolewa kwa idara ya usalama, bodi ya kukabiliana na utumizi wa pombe haramu sawa na dawa za kulevya kuwajibika kikamilifu kwa lengo la kukabiliana na...
Idara ya usalama eneo la Pwani imeonya viongozi na wanasiasa dhidi ya kuzua semi za uchochezi ambazo huenda zikachangia vurugu eneo hilo. Kamishna wa jimbo la...
Mahakama Kuu nchini imetoa mwelekeo kuhusu kuapishwa kwa mwenyekiti mpya na makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC. Haya yanajiri baada ya majaji watatu siku...
Miaka michache iliyopita serikali kuu ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki katika juhudi za kuthibiti uchafuzi wa Mazingira. Sheria hiyo iliyoanza kutumika mwezi Agosti 28...
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma, Renson Ingonga, ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya afisa wa polisi Barasa Masinde. Masinde anadaiwa kuhusika moja kwa moja na mauaji...
Tume ya jinsia na usawa NGEC inasisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wanaume ili kudhibiti visa vya dhuluma za kijinsia nchini. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mkakati...