Baada ya wakaazi wa eneo bunge la Kilifi Kaskazini na Ganze kulalamikia ubovu wa barabara ya Kibaoni-Ganze hadi Bamba na kuangziwa na wanahabari, hali sasa ni...
Mratibu wa Kongamano la kimataifa linaloangazia masuala ya mabadiliko ya hali ya anga, INTER- GOVERNMEMTAL PANEL ON CLIMATE CHANGE, Patricia Nying’uro amesema jamii inasalia kuwa kiungo...
Kaunti ya Mombasa imetajwa miongoni mwa kaunti zinazoongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu eneo la pwani. Everlyn Kibuchi mkurugenzi wa mradi wa kuhamasisha kuhusu...
Kamanda wa Polisi kaunti ya Kilifi Josephat Biwott amepongeza juhudi za wakaazi wa kaunti hiyo kwa kuwa na ushirikiano mwema na asasi za usalama. Biwott amesema...
Mamlaka ya kukabiliana na dawa za kulevya na pombe haramu nchini NACADA inaendelea kushikilia pendekezo lake la kutaka umri wa chini wa unywaji wa pombe uwe...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro amefanya mabadiliko katika serikali yake na kumteua afisa mkuu mtendaji wa idara ya barabara Philip Charo kuwa kaimu waziri...
Mahakama mjini Malindi kaunti ya Kilifi iliwaamuru washukiwa 11 waliokamatwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kilomita sita kutoka eneo la Shakahola kuzuiliwa rumande kwa mda wa...
Naibu Kamishna wa kaunti ndogo ya Kaloleni kaunti ya Kilifi, Kyalo Kaloki amewapongeza wenyeji kwa juhudi ambazo wamekuwa wakiweka kudhibiti mauaji ya wazee kwa tuhuma za uchawi. Kaloki...
Mbunge wa Kaloleni kaunti ya Kilifi Paul Katana ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kujiepusha na siasa ambazo huenda zikasababisha chuki miongoni mwa wenyeji. Akizungumza katika...
Catherine Kenga amechaguliwa kuwa spika wa bunge la kaunti ya Kilifi katika kikao maalum ambacho kiliandaliwa katika bunge hilo Jumatu Julai 21 2025. Katika kikao hicho...