Msanii Zuchu awasha moto mitandaoni baada ya kujiita “Mrs. Nasibu” kwenye Instagram. Je, hii ni ndoa rasmi na Diamond Platnumz au kiki ya muziki? Soma zaidi...
Drumrolls tafadhali! 🔔🎉 Mtangazaji mahiri wa Coco FM, Sister Shanniez, hatimaye ametoka soko rasmi! Harusi ya kifahari ya kimyakimya, katikati ya jiji la Mtwapa, imegeuza Jumamosi...