Kicheko ni dawa, lakini safari ya kumfanya mtu acheke si ya mchezo. Hii ni kauli inayomwelezea vyema Omwami Comedian, mchekeshaji anayezidi kung’aa kwenye anga la burudani...
Katika dunia ya leo iliyozama kwenye anasa na shinikizo la maisha ya mtandaoni, mapenzi ya kweli yanaonekana kama hadithi za zamani. Lakini je, bado yapo? Je,...