Wakaazi wa mtaa wa Owino Uhuru katika eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa, walioathirika na sumu ya madini ya kemikali ya Lead wanalalamikia kucheleweshwa kwa...
Baadhi ya maeneo katika eneo bunge la Samburu, Kinango na Lungalunga kaunti ya Kwale huenda yakaathirika zaidi na ukame kutokana na kiangazi kikali kinachoendelea kushuhudiwa. Kulingana...
Mahakama ya Shanzu mjini Mombasa imemtaka Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini ODPP Renson Ingonga kuwasilisha mashtaka sahihi dhidi ya wakurugenzi wakuu wawili wa chuo...
Mmiliki na mjasiriamali wa lebo ya Wasafi Media na WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameelekea mahakamani kumshtaki mpenzi wake wa zamani kwa kile alisema kwamba anatumia picha...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee starlets Beldine Odemba ana amini kwamba uwepo wa mashabiki katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex Ijumaa hii itawapa msukumo timu...
Wakereketwa wa maswala ya kisiasa katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamelitaka jopokazi la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na...
Mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA imezitaka serikali za kaunti kulipa malimbikizi ya madeni ya jumla ya shilingi bilioni 3.5 zinazodaiwa na Mamlaka hiyo. Kulingana na...
Kenya ilirekodi jumla ya watalii milioni 7.6 mwaka wa 2024, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 11 ikilinganishwa na mwaka 2023. Waziri wa Utalii nchini Rebecca...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika eneo bunge la Malindi na Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali ya kitaifa kuongeza muda wa kuvifanyia vipimo vinasaba...