Drumrolls tafadhali! 🔔🎉 Mtangazaji mahiri wa Coco FM, Sister Shanniez, hatimaye ametoka soko rasmi! Harusi ya kifahari ya kimyakimya, katikati ya jiji la Mtwapa, imegeuza Jumamosi...
Nguli wa Bongo Flava kutoka Tanzania, AY, ametua jijini Nairobi tayari kwa tamasha linalosubiriwa kwa hamu – Millennials Bongo Tour, litakalowasha moto Kilimani, Jumapili hii, tarehe...
Afisa wa polisi ambaye pia ni muimbaji wa muziki wa Bango, Emmanuel Yaa Baya anayejulikana zaidi kwa jina la kisanii Manu Bayaz, amefichua kilichomsukuma kuingia kwenye...
Msanii maarufu wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameibua mjadala mkali kwenye harusi ya kifahari ya Juma Jux na Priscilla Ojo iliyofanyika nchini Tanzania, baada ya...
Mchekeshaji na mtangazaji wa redio, David Oyando, maarufu kama Mulamwah, ameadhimisha siku ya mazazi kwa kujizawidi gari la kifahari aina ya Mercedes Benz S550. Msanii huyo...