Shughuli za kibiashara katika soko la Tezo kaunti ya kilifi ziliathirika jumatatu ya Julai, 21, 2025 kufuatia mgomo wa wahudumu wa tuktuk. Kulingana na wafanyibiashara katika soko...
Wadau wa sekta ya utalii wadi ya Watamu kaunti ya Kilifi wameripoti kuimarika kwa sekta ya utalii eneo hilo mwaka wa 2025 ikilinganishwa na mwaka uliopita...
Idadi ya wachuuzi wa njugu mjini Kilifi kaunti ya Kilifi imetajwa kuongezeka msimu huu ikilinganishwa na hapo awali. Kulingana na Kazungu Kaingu, vijana wengi punde wanapomaliza...
Wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu kwenye maonyesho ya kilimo yatakayofanyika mwezi wa september mwaka 2025 katika uwanja wa maonyesho ya kilimo...
Wafanyabiashara wa Soko la Mtwapa kaunti ya Kilifi wamelalamikia ukosefu wa maji kwenye Soko hilo ambapo wafanyibiashara wengi wanalitegemea kuendeleza shughuli zao za kila siku. Kulingana...
Wafanyibiashara katika sekta ya utalii mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameelezea kudorora kwa sekta hiyo kutokana na hatua ya mahoteli mengi eneo hilo kufungwa. Wakizumguza na...