Ni Rasmi kwamba kilabu ya Liverpool imetangaza kupata sahihi ya kiungo wa taifa la Ujerumani na kilabu ya Bayern Leverkusen Florian Wirtz kwa dau la Euro...
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imevuna ushindi wa kwanza chini ya kocha Benni McCarthy baada ya kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Chad...
Washukiwa 7 waliokamatwa katika eneo la Mtwapa kaunti Kilifi kwa tuhuma za wizi kwenye magari watafahamu hatma yao siku ya Ijumaa 13 mwezi huu iwapo wataachiliwa...
Jaji Mkuu mstaafu David Maraga ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa utawala wa rais William Ruto kufuatia kifo cha mwanablogu Albert Omondi Ojwang anayedaiwa kufariki...
Aliyekuwa Jaji mkuu nchini Willy Mutunga pamoja na Kinara wa chama cha People’s Liberation Party Martha Karua wameishtaki serikali ya Tanzania katika Mahakama ya Haki ya...