Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amebainisha kwamba hospitali kuu ya rufaa ya Kilifi inaidai bima ya afya ya jamii nchini SHA jumla ya shilingi...
Mwanamke mmoja amethibitishwa kufariki huku watu wengine sita wakijeruhiwa vibaya baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani katika eneo la Matairini kwenye barabara kuu ya Kwale...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande mwanaume mmoja anayekabiliwa na kesi 8 za uvamizi. Hakimu mkuu wa Mahakama hiyo Ivy Wasike ameagiza mshukiwa huyo kuzuiliwa hadi...
Uongozi wa Kanisa Katoliki mjini Vatican umetangaza kwamba Papa Francis atazikwa siku ya Jumamosi Aprili 26 katika Kanisa kuu la mtakatifu Bikiri Maria mkuu kuanzia mwendo...
Gavana wa Lamu Issah Timamy amewataka wakaazi wa kaunti ya Lamu kuzilinda raslimali zilizoko kwenye kaunti hiyo. Akizungumza katika eneo la Mbwajumwali Gavana Timamy amesema kumekuwa...