Waziri wa Fedha nchini John Mbadi alisoma bajeti ya kitaifa ya mwaka wa Fedha wa 2025/2026 ambayo ni makadirio ya takriban shilingi trilioni 4.23. Akisoma bajeti...
Katika eneo la Mnarani, Kaunti ya Kilifi, mwanaharakati wa mazingira Stephen Otieno anasimama kama ishara ya ushindi dhidi ya changamoto za maisha. Ni hadithi ya maumivu,...
Makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani mjini Vatican ilitangaza uteuzi wa kwanza wa Askofu mwenye asili ya China chini ya usimamizi wa Papa Leo XIV. Hii...
Msanii maarufu wa muziki wa Injili kutoka Tanzania, Christina Shusho, amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kumpongeza hadharani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...
Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja ameomba msamaha kwa kutoa ripoti isiyo sahihi kuhusu uchunguzi wa mauaji dhidi ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Mapema wiki...