Mahakama kuu mjini Malindi kaunti ya Kilifi imeahirisha kwa mara ya mwisho uamuzi wa kesi ya madai ya ulaghai wa fedha unaodaiwa kutekelezwa na Kenneth Njoroge...
Jopo la uteuzi wa Makamishna wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC limetangaza kuanza zoezi la kuwapigwa msasa watu 11 ambao walituma maombi ya...
MAHAKAMANI – Gavana wa Meru Kawira Mwangaza amepata pigo baada ya Mahakama kuu kuidhinisha uamuzi wa bunge la Seneti la kumtimua Mamlakani. Uamuzi huo imejiri baada...
Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Dkt Raymond Omollo amesema baadhi ya miili waliofukuliwa katika makaburi ya halaiki kwenye msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi...
Mwanasiasa Oscar Nzai amepongeza ushirikiano wa utendakazi kati ya Rais William Ruto na Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, akisema ushirikiano huo utazikabili changamoto zinazowakumba...