Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani nchini Dkt Raymond Omollo amewarai wanasiasa na wafanyibiashara nchini kuisaidia serikali kufanikisha ajenda yake ya miradi ya maendeleo mashinani....
Wizara wa Elimu nchini Julius Migos amewaagiza wasimamizi wakuu wa shule za upili, msingi na baraza la mitihani nchini KNEC kuhakikisha wanaachilia stakabidhi za masomo za...
Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor amewahakikishia waumini wa dini ya kiislamu na wakaazi wa kaunti ya Mombasa usalama wa kutosha wakati huu wa mfungo...
Naibu katibu wa Chama cha Walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini KUPPET kaunti ya Kilifi Opollo Zacharia Kopolo ametoa wito kwa serikali...
Wizara ya Afya kaunti ya Tanariver, Joshua Jarha, imesema serikai ya kaunti hiyo imewalipa wahudumu wa afya ya nyanjani malimbikizi ya marupurupu yao ambayo wamekuwa wakidai....