Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amekashifu vikali ongezeko la vijana wadogo wanaoendeleza uhalifu katika kaunti hiyo. Abdulswamad amewakosoa wale wanaosema kuwa vijana hao...
Mwenyekiti wa kamati ya Leba katika bunge la kitaifa Ken Chonga amesema baadhi ya wakenya ambao wanasafiri katika mataifa ya miliki za kiarabu kusaka ajira wamekosa...
Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire amelalamikia hatua ya serikali kuu kuchelewesha usambazaji wa fedha za serikali za kaunti, akidai kwamba hatua...
Mkufunzi wa kilabu ya akina Dada ya Moving The Goal Post marufu kama MTG United kaunti hii ya Kilifi Fadhili Hamisi marufu coach Tibo amesema kwamba...
Rais wa FKF Hussein Mohamed amesema kwamba shirikisho hilo lilipata shilingi milioni 6.9 na wala si milioni 9.1 kama ilivyoripotiwa mechi ya Harambee stars dhidi ya...