SIKU 9 KUNGOA NANGA KWA CHAN ANGOLA-Mabingwa wa Taji La COSAFA. Wanajiita The Black Antelopes kwa jina la utani ila bado hawajashinda kombe la CHAN katika...
Wakulima zaidi ya 9,500 katika Kaunti ya kwale hasa katika maeneo kame ya Kinango na LungaLunga wanatarajia mavuno zaidi ya mahindi, pojo na kunde, kufuatia serikali...
Baadhi ya wafanyibiashara mjini Malindi kaunti ya Kilifi wanalalamikia kupanda kwa gharama ya maisha sawa na ushuru wa biashara wakati mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini, KRA...
Baada ya wakaazi wa eneo bunge la Kilifi Kaskazini na Ganze kulalamikia ubovu wa barabara ya Kibaoni-Ganze hadi Bamba na kuangziwa na wanahabari, hali sasa ni...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uhispania imetinga fainali ya kombe la Mataifa ya Ulaya kwa Wanawake mwaka 2025, WEURO 2025 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi...
Mkufunzi wa timu ya soka Harambee Stars Benni Mccarthy amekitaja kikosi chake cha mwisho chenye wachezaji 25 tayari kwa kombe la Chan mwezi ujao,vijana wa nyumbani...
SENEGAL SENEGAL-Wanajiita The Lions of Teranga kwa jina la Utani. Ni mabingwa watetezi wa kombe la CHAN wakishinda kombe hilo na lao la pekee mwaka 2022...
Mratibu wa Kongamano la kimataifa linaloangazia masuala ya mabadiliko ya hali ya anga, INTER- GOVERNMEMTAL PANEL ON CLIMATE CHANGE, Patricia Nying’uro amesema jamii inasalia kuwa kiungo...
Mkufunzi wa Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars Benni McCarthy amesema kwamba walienda Tanzania kushiriki Kombe la CECAFA wakiwa na azma na ari kubwa ya...
Wakulima wanaoendeleza kilimo biashara kutoka rabai kaunti ya kilifi wamegeukia kilimo cha viazi vitamu. Kulingana na wakulima hao msimu huu wa mvua chache viazi vitamu vinafanya...