Mbunge wa Malindi Amina Mnyazi amewasuta vikali baadhi ya wanasiasa wanaoendeleza siasa za mgawanyiko, akisema malengo yao ni kuvuruga mipango ya maendeleo kupitia serikali Jumuishi. Mnyazi...
Maafisa wa Idara ya DCI kwa ushirikiano na kitengo maalum cha Polisi wamefanikiwa kuwakamata vijana sita wanaoshukiwa kuwa wahalifu. Katika taarifa ya Polisi, wahalifu nao wanadaiwa...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande kwa mshukiwa wa unajisi wa mtoto umri wa miaka 7 wakati kesi hiyo ikiendelea. Hakimu Mkuu wa Mahakama hiyo Ivy...
Kenya imejitolea kuongeza ufadhili wake kwa Shirika la Afya duniani WHO kwa asilimia 20 katika kipindi cha miaka 4 ijayo. Waziri wa Afya nchini Aden Duale...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano hadi katika ofisi za ubalozi wa Tanzania mjini Mombasa wakitaka kuachiliwa huru kwa Mwanaharakati wanaozuliwa...
Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT tawi la Kilifi kimelalakimia serikali kuu kuhusu kuchelewa kusambaza mgao wa fedha wa kuendeleza shughuli za masomo. Katibu...
Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT kimeahidi kuishinikiza serikali kuongeza asilimia 60 ya mshahara kwa walimu pamoja na nyongeza ya asilimia 30 kama marupurufu....
Naibu Rais Prof Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kwamba uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027 utakuwa huru, haki na amani. Kindiki amemshtumu Kinara wa Chama cha...
Kizaazaa kilishuhudiwa katika majengo ya bunge la kaunti ya Kilifi baada ya Wawakilishi wadi ambao ni Wanachama wa Kamati ya bajeti katika bunge hilo kutofautiana kuhusu...
Mwakilishi wadi wa Ganda, kaunti ndogo ya Malindi, kaunti ya Kilifi, Oscar Wanje amekemea vikali tukio ambapo wawakilishi wadi wawili walihusika katika mshikemshike wa kumpiga mwakilishi...