Mahakama ya Kisutu nchini Tanzania imeahirisha kesi ya jinai inayomkabili Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu hadi Juni 16, 2025. Mahakama imeagiza Lissu kuendelea kuzuiliwa...
Mgombea wadhifa wa urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027 Robert Watene amesema mfumo wa mtaala wa elimu nchini CBC utawafaidi wakenya iwapo utaangazia changamoto...
Wadau katika sekta ya uchumi wa raslimali za baharini na maziwa katika eneo la Pwani wameitaka serikali kuongeza uwekezaji katika sekta hiyo ili kusaidia kuongeza nafasi...
Waziri wa Utalii, Bi Rebecca Miano, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi katika kuandaa mpango wa pamoja wa kusaidia biashara na maeneo...
Viongozi wa kaunti ya Mombasa wameitaka serikali kuu kuongeza uwekezaji katika sekta ya uchumi wa raslimali za baharini na maziwa, ili kuinua maisha ya wakazi wa...
Wapi unaweza kumpata mwenza wa maisha? Jibu linaweza kuwa popote—kanisani, mitandaoni, au kwenye safari za kawaida. Lakini kwa Kassim Mbui na Binti Umazi, jibu linaonekana kuwa...
Mashemeji Derby Kilabu ya Gor Mahia kuzindua uhasama na watani wao wa tangu jadi kilabu ya Afc Leopards katika debi la 97 leo uwanjani Raila Odinga...
Kauli ya Diamond Platnumz kuhusu ndoa imewavuruga mashabiki mitandaoni, baada ya picha zenye taswira ya harusi kusambaa. Ingawa hajasema wazi kama ameoa, ujumbe wake wa kina...
Mgombea wadhifa wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 Robert Watene anasema taifa litanawiri zaidi na kuendelea iwapo wananchi watahakikishiwa usalama wa chakula. Watene alisema...
Kilabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa kiungo mshambulizi wa kilabu ya Wolves Matheus Cunha raia wa Brazil. Kupitia kwenye tuvuti ya kilabu hiyo imetangaza kukubaliana...