Maafisa wa afya katika kaunti ya Mombasa wamethibitisha kuwepo na mkurupuko wa ugonjwa wa Chikungunya huku zaidi ya wakaazi 25 wakiripotiwa kuambukizwa. Kwa mujibu wa maafisa...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imejitenga na vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa mazishi ya Afisa wa kaunti katika eneo la Msabaha wadi ya Ganda eneo bunge la...
Daktari wa Afya ya uzazi katika hospitali ya Malindi kaunti ya Kilifi, Sudi Mohamed amewashinikiza wanaume katika eneo bunge la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa...
Kilabu ya Chelsea imelipa ada ya pauni milioni 5 na kuvunja mkataba kati yao na winga wa Manchseter United Jadon Sancho ambaye amekuwepo kilabuni humo japo...
Wataalam wa maswala ya uchimi wa bahari nchini wamesistiza marufuku ya uvuvi wa kutumia nyavu aina ya Ring Net wakisema nyavu hizo zinaharibu zao la samaki...
Viongozi wa kaunti ya Tanariver wamepuuza harakati za kisiasa za Kinara wa chama cha Democracy for the Citizen’s Party- DCP, Rigathi Gachagua wakimtaja kama kiongozi anayeendeleza...
Serikali imesema itakamilisha malipo ya fidia kwa waathiriwa wote wa ujenzi wa mradi wa Bwawa la Mwache katika eneo la Kinango kaunti ya Kwale ifikapo mwishoni...
Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wamekamatwa na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia sare baada ya kusikiza kesi inayomkabili gavana wa kaunti...
Washikadau katika sekta ya uchumi wa rasilimali za baharini na maziwa katika ukanda wa Pwani wamesema kuwa Kenya imepiga hatua kubwa katika juhudi za kuimarisha sekta...
Wafanyabiashara katika eneo la Misufini kuelekea Kwa Mwango, mjini Kilifi, wameelezea hofu yao kuhusu hatma ya biashara zao kufuatia tangazo la serikali ya kaunti ya Kilifi...