Naibu Gavana wa kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule, aliwahimiza wenyeji wa kaunti ya Kilifi kuwa mstari wa mbele kukabiliana na uchafuzi wa mazingira. Akizungumza wakati...
Rais William Ruto alikutana na kushauriana na viongozi kutoka eneo la Nyanza katika Ikulu ya Nairobi siku ya Alhamis. Kulingana na taarifa kutoka Ikulu ya Nairobi,...
Timu ya shule ya upili ya Serani imetetea ubingwa wao wa eneo la Mvita baada ya kuwalaza Tononoka magoli 2-1 katika fainali iliyochezewa kwenye uwanja wa...
Kilabu ya Chelsea imetangaza kumpa jezi namba 10 kiungo mbunifu wa kilabu hiyo Cole Palmer raia wa Uingereza baada ya kuonyesha ubora wake tangu kusajiliwa kutoka...
Serikali kuu imeandaa kikao cha kukusanya maoni ya umma pamoja na wadau mbali mbali kuhusu miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa kaunti ya Kilifi...
Kilabu ya Manchester United imewasilisha ofa ya pauni milioni 55 kwa kilabu ya Brenford kuhusiana na uhamisho wa winga matata Bryan Mbeumo raia wa Cameroon. Hata...
Katika dunia ya leo ambapo changamoto za kiuchumi zimewaacha vijana wengi wakihangaika, simulizi ya Don Moses ni mwanga wa matumaini kwa wengi. Akiwa mgeni katika kipindi...
Wakaazi wa Malindi kaunti ya Kilifi walijitokeza na kuishinikiza serikali ya kitaifa kubuni mbinu mbadala za kuhifadhi miili ya watu iliyofukuliwa katika makaburi ya msitu wa...
Baraza kuu la mashauri ya Waislamu nchini KEMNAC limeunga mkono taifa la Tanzania kwa kutoruhusu Wanaharakati wa kijamii na baadhi ya viongozi kutoka Kenya kuingilia siasa...
MOMBASA – Serikali ya Kaunti ya Mombasa imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuondoa taka zilizorundikana katika soko la Marikiti, hatua inayolenga kupunguza hatari ya kiafya na...