Katibu Mkuu ambaye pia ni msimamizi wa mchezo wa Handiboli ya Ufukweni (Beach Handball) ya Kitaifa Bi Carolyne Nyadiero amesema kwamba mandalizi yamekamilika kwa ajili ya...
Spika wa bunge la kaunti ya Mombasa Aharub Khatri amezidi kuwakosoa viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kutokana na kile ambacho anadai wanaendeleza siasa ambazo hazina...
Maseneta katika bunge la Seneti wamemtaka Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen na Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Douglas Kanja kueleza kilichosababisha kifo cha mwanablogu...
Ni Rasmi kwamba kilabu ya Liverpool imetangaza kupata sahihi ya kiungo wa taifa la Ujerumani na kilabu ya Bayern Leverkusen Florian Wirtz kwa dau la Euro...
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imevuna ushindi wa kwanza chini ya kocha Benni McCarthy baada ya kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Chad...
Washukiwa 7 waliokamatwa katika eneo la Mtwapa kaunti Kilifi kwa tuhuma za wizi kwenye magari watafahamu hatma yao siku ya Ijumaa 13 mwezi huu iwapo wataachiliwa...
Jaji Mkuu mstaafu David Maraga ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa utawala wa rais William Ruto kufuatia kifo cha mwanablogu Albert Omondi Ojwang anayedaiwa kufariki...
Aliyekuwa Jaji mkuu nchini Willy Mutunga pamoja na Kinara wa chama cha People’s Liberation Party Martha Karua wameishtaki serikali ya Tanzania katika Mahakama ya Haki ya...
Baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha pwani mjini Kilifi kaunti ya Kilifi walijitokeza na kuilaumu serikali wakidai kwamba imezembea kulinda usalama wa raia wake kutokana...
Mkufunzi wa Harambee Starlets Beldine Odemba atarejea kunoa tena kikosi hicho kwenye kinyanganyiro cha Cecafa ukanda wa Afrika Mashariki nchini Tanzania. Haya yanajiri saa chache tu...